Announcements

Jinsi ya kujaza mfumo wa SIS

📘 *MWONGOZO WA SIS TAMISEMI - VIPENGELE 18 NA TAARIFA ZA KUJAZA*

📌 Kwa walimu, wakuu wa shule na wasimamizi wa takwimu.

================================
💪 *UJUMBE KWA WADAU*
================================
Wadau wengi wamekuwa wakiona kazi ya kukusanya takwimu kupitia SIS ni ngumu na inachosha.
Lakini ukifuata hatua hizi zilizoorodheshwa hapa chini, utakuta ni *RAHISI SANA*.
Kila kipengele kimevunjwa vipande vidogo, na unachohitajika ni kujaza taarifa unazozishughulikia kila siku.
*Hakuna haja ya kubuni au kuhangaika* – fuata tu muhtasari huu, na kazi yako itakuwa nyepesi na sahihi.
Weka moyo wazi, na utaona mabadiliko makubwa katika usimamizi wa shule yako.

================================
1. *SET UP A SCHOOL*
================================
✅ Jina la shule, anwani, nembo
✅ Aina (Msingi/Sekondari/Mchanganyiko)
✅ Mwaka wa masomo
✅ Double session? (Ndiyo/Hapana)
✅ Idadi ya mikondo (streams) kwa darasa
✅ Mtaala (Zamani / UlioBoreshwa 2023)

================================
2. *MANAGE STUDENTS*
================================
✅ Jina kamili, jinsia, tarehe ya kuzaliwa, umri
✅ Darasa, mkondo
✅ Uraia (Mtanzania au la)
✅ Yatima (Ndiyo/Hapana)
✅ Ulemavu (aina yake)
✅ Umbali wa shule kutoka makazi (km)
✅ Anaishi mazingira magumu? (Ndiyo/Hapana)
✅ Anapata msaada? (Chanzo: Serikali, Wadau, n.k.)
✅ Aina ya msaada (fedha, chakula, taulo)
✅ Repeater (Ndiyo/Hapana + sababu)
✅ Aliwahi kuacha na kurejea (re-enrol)
✅ Aliyepata ukatili/unyanyasaji (na kama umeshughulikiwa)
✅ Anakaa bweni au dahalia?

================================
3. *MANAGE STAFF*
================================
✅ Jina, jinsia, umri, nafasi ya kazi
✅ Aina ya ajira (Kudumu, Muda, Kujitolea)
✅ Kwa shule zisizo za Serikali: Mwalimu wa kudumu wa Serikali?
✅ Uraia
✅ Ulemavu na kiwango cha elimu
✅ Mwalimu wa masomo ya amali
✅ Alioajiriwa mwaka 2025
✅ Aliyesoma elimu maalum
✅ Kutohudhuria (sababu, muda)
✅ Aliyestaafu, fariki, achishwa kazi
✅ Aliyepata mafunzo (muda mrefu/mfupi)
✅ Aliyepata motisha (aina, chanzo)
✅ Anatoa huduma ya ushauri na unashi
✅ Hesabu ya walimu wenye VVU/UKIMWI (usiri)

================================
4. *STUDENT ADMISSION*
================================
✅ Jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, jinsia
✅ Jina la mlezi
✅ Darasa linaloombwa
✅ Nakala ya cheti/kadi ya kuzaliwa
✅ Hali ya afya (magonjwa sugu, mzio)
✅ Tarehe ya kujiunga
✅ Chanzo cha fedha za ada (shule isiyo ya Serikali)

================================
5. *TIMETABLE PERIODS & TIMETABLE*
================================
✅ Kipindi namba, wakati wa kuanza na kumaliza
✅ Somo, darasa, mwalimu
✅ Siku ya wiki
✅ (Ratiba ifuate mgawanyo wa masomo kwa walimu)

================================
6. *SCHOOL SERVICES*
================================
✅ Umbali wa shule kutoka kituo cha afya (km)
✅ Aina ya kituo (Hospitali/Kituo/Zahanati)
✅ Vyanzo vya maji (bomba, kisima, mto...) na chanzo kikuu
✅ Umbali (mita) kutoka chanzo kikuu cha maji
✅ Shule ina maji ya kunywa? (Ndiyo/Hapana)
✅ Maji ya kutosha kwa walimu na wanafunzi?
✅ Ina sabuni ya kunawia mikono?
✅ Huduma ya umeme (TANESCO, jenereta, sola)
✅ Mtandao (Internet) – aina, kasi, mtoa huduma, idadi ya wanafunzi wanaotumia (wavulana/wasichana)
✅ Aina ya vyoo na sifa zake (rangi, milango, usafi)
✅ Nani anafanya usafi wa vyoo (wanafunzi, mfanyakazi, kampuni)
✅ Nishati ya kupikia (umeme, mkaa, kuni, gesi)

================================
7. *HEALTH AND NUTRITION*
================================
✅ Idadi ya wanafunzi wanaopata chakula shuleni
✅ Vyanzo vya mapato kwa chakula (Serikali, wazazi, wadau)
✅ Taulo za kike (sanitary pads):
   - Idadi zilizonunuliwa/zilizopokelewa
   - Chanzo (Serikali Kiu, Halmashauri, Mapato ya Ndani, Wadau, Mapato ya Shule)
   - Idadi ya wanafunzi waliopata
   - Kiasi cha fedha kilichotumika

================================
8. *CLUBS AND COMMITTEE*
================================
✅ Vikundi vya uelimishaji rika (clubs) – Ndiyo/Hapana
✅ Aina za vikundi (VVU/UKIMWI, usawa wa kijinsia, stadi za maisha...)
✅ Idadi ya wanafunzi kwa kila kidato wanachohusika
✅ Kamati za shule (Afya, Usafi, n.k.)
✅ Bodi ya Shule (ipo au la)

================================
9. *SCHOOL PROJECTS*
================================
✅ Jina la mradi, eneo
✅ Jalada la mradi (project folder) lipo na linasomika?
✅ Mradi unaotekelezwa au umekamilika
✅ (Kina: bajeti, chanzo cha fedha, hatua)

================================
10. *ADVANCE CLASSES*
================================
✅ Michepuo ya Sayansi, Sanaa, Biashara
✅ Tahasusi kwa kidato 5 na 6

================================
11. *ADMINISTRATION SCHOOLS*
================================
✅ Safu ya uongozi (Mkuu, Wakuu wa Idara, Walimu Wakuu)
✅ Mgawanyo wa majukumu
✅ Haki za matumizi ya mfumo (Mkuu, Mwalimu Takwimu, Walimu)

================================
12. *FUND MANAGEMENT*
================================
✅ Vyanzo vya mapato (Serikali, wazazi, wadau, mapato ya shule)
✅ Mgawanyo wa matumizi ya ruzuku ya uendeshaji (Capitation grant)
✅ Matumizi ya shule kwa mwaka (kwa robo au mwaka mzima)
✅ Kiasi cha fedha kilichotumika kwa kila chanzo
✅ Tarehe, maelezo ya matumizi, kiasi
✅ Mwaka wa masomo (Academic Key)

================================
13. *BOARDING MANAGEMENT*
================================
✅ Jina la mwanafunzi, kidato, jinsia
✅ Aina: Bweni au Dahalia (Hostel)
✅ Uwezo wa bweni (wango) na idadi iliyopo
✅ (Kina: chumba, kitanda, msimamizi wa bweni)

================================
14. *SQA INSPECTION REPORT*
================================
✅ Aina ya ukaguzi (ndani, nje)
✅ Tarehe ya kuanza na kumaliza ukaguzi
✅ Ngazi ya uthibitisho ubora (kwa mwaka)
✅ Ripoti ya ukaguzi (kwa shule za sekondari)

================================
15. *ATTENDANCE MONTHLY SUMMARY*
================================
✅ Mwezi na mwaka (mfano 2025)
✅ Kwa kila kidato: idadi ya wanafunzi, wastani wa mahudhurio
✅ Idadi ya siku za mahudhurio, utoro, kuchelewa
✅ Pia mahudhurio kwa yatima na wanaoishi mazingira magumu

================================
16. *STUDENT DROPOUT SUMMARY*
================================
✅ Idadi ya wanafunzi walioacha au kuachishwa shule mwaka 2025
✅ Sababu za kuacha: Utoro (siku 90 mfululizo), ndoa, umasikini, n.k.
✅ Jina la mwanafunzi, darasa, tarehe ya kuacha (rekodi ya ndani)

================================
17. *STUDENT TRANSFER SUMMARY*
================================
✅ Idadi ya wanafunzi waliohama kwenda shule nyingine
✅ Idadi ya wanafunzi waliohamia shuleni (kutoka nyingine)
✅ Kwa kila kipindi cha mwaka
✅ (Kina: jina, darasa, shule ya awali/inayoenda, sababu)

================================
18. *COBET PROMOTIONS SUMMARY*
================================
✅ Idadi ya wanafunzi waliorudi shuleni (re-enrol) baada ya kuacha
✅ Umri na kidato walichoingia
✅ (COBET = programu ya elimu mbadala; hesabu waliorejea mfumo rasmi)

================================
📌 VIPENGERE VYA ZIADA (VILIVYOMO PDF)
================================
🔹 School Inventory – Books Tracking (vitabu vya wanafunzi, mwongozo mwalimu, breli)
🔹 School Inventory – Furniture Tracking (samani: madawati, meza, viti)
🔹 School Inventory – Equipment Tracking (vifaa vya TEHAMA, wanafunzi wenye mahitaji maalum, michezo)
🔹 School Inventory – Infrastructure Tracking (miundombinu ya kudumu/muda, vyumba vya madarasa, viwanja)
🔹 ASC Extra Data (stadi za maisha, VVU/UKIMWI, shule salama, ustawi wa mazingira, uzio wa shule, ushirikiano wa wazazi)

================================
🧑‍🏫 MUHTASARI WA MCHAKATO KWA WALIMU
================================
1. Mkuu wa Shule: Anafanya School Setup, anathibitisha taarifa zote.
2. Mwalimu wa Takwimu: Anajaza miundombinu, samani, vifaa, na kuhakiki.
3. Walimu wa Madarasa: Wanajaza mahudhurio na taarifa za wanafunzi.
4. Walimu wa Masomo: Wanajaza alama na maendeleo ya kitaaluma.

⚠️ TAHADHARI KUU:
❌ Usiingize taarifa za kubuni.
✅ Hakiki kabla ya kuwasilisha.
🔒 Tunza usiri wa taarifa (hasa VVU/UKIMWI, unyanyasaji).
📤 Fuata mtiririko: Shule → Kata → Halmashauri → Mkoa → Taifa.

================================
🎯 *KUMBUKA: KAZI HUU SI NGUMU!*
================================
Kwa kufuata hatua hizi zilizoorodheshwa kwa kila kipengele, utakuta unazijua tayari taarifa nyingi.
Hakuna haja ya kuhangaika au kubuni. Andaa tu daftari lako, jaza kwa utulivu, na ukisahau rejelea mwongozo huu.
*Wadau wote wanaweza kufanikiwa kwa ushirikiano na muelekeo huu rahisi.*

================================
📢 *FOLLOW CHANNEL HII KWA UPDATES ZAIDI*. 

https://whatsapp.com/channel/0029VaEmbFZ1Hsq6oycc992g

================================
Endelea kufuatilia channel yetu ya WhatsApp kwa maelekezo mapya, maswali na majibu, na mifano zaidi.

================================
✍️ *UJUMBE HUU UMEANDALIWA NA:*
================================
*Mwalimu Na Mifumo*
📞 *0753538043*

🤝 *SHARING IS CARING*
Tafadhali shiriki ujumbe huu na wenzako, viongozi wa shule, na washirika wako.

Related Articles