Ingia kwenye akaunti yakoπFungua eUtendaji
π Fungua Employee Performance Assessment
π Chagua Employee Assessment
π Yatakuja majina yote ya wanastaff wako ukiondoa la mkuu ambaye atafanyiwa assessment na supervisor wake ngazi ya juu.
π Click jina moja moja la wanastaff wako ili tasks zake zionekaneΒ
π Baada ya hapo utaona kinyundo juu kimeandikwa Assess (Click hapo)
π Subtasks zitahamia upande wa kushoto na utatakiwa kuckclick subtask moja moja mpaka ziishe
π Kila unapoclick subtask moja itakupeleka kwenye ukurasa unaoinesha zile performance indicator yaani Qualitative na Quantitative.
π Kila performance indicator mbele yake kuna doti tatu.Β
π Click doti tatu za kwenye Qualitative (itakuletea options nyingi)
π Chagua Assess Subtask
π Itakupeleka kwenye uwanja wa kuassess na utatakiwa kufuta 0 na kujaza alama unayoona inafaa mfano 80, 90, 100 n.k
π Kisha Save utakuwa umemaliza subtask moja. Endelea na nyingine mpaka ziishe.
π Baada ya hapo nenda kwa staff wa pili naye fanya hivyo.
