MSSIS HELP

Jinsi ya Kuview Matokeo ya mtihani ya ndani

Jinsi ya Kuview Matokeo ya mtihani ya ndani*  Baada ya matokeo kuwa Published/kutangazwa rasmi na Mkuu wa shule (Mitihani ya ndani), walimu wote kupitia akaunti zao watakuwa na access/uwezo wa  kuangalia na kupakua PDF za Matokeo ya mitihani iliyofanyika kwa kubofya `Academics=>Exams=>bofya kwenye button ya kuview Matokeo ya mtihani husika kilichopo pembeni ya button ya jicho kulia mwa jina la mtihani=>ukurasa wa matokeo ya mtihani husika utaonekana, kisha anza kubofya links za matokeo husika kwa kuchagua darasa moja moja=> unaweza kupakua pia PDF zake kwa kubofya export to PDF button iliyeko upande wa kulia juu mwa page ya kila tathmini ya matokeo.` *NB:* Kwa matokeo ya jumla/wanafunzi unaweza kuview na kupakua kwa mfumo wa kawaida, NECTA format na Order by Position kama yanavyoonekana kwa pages husika kwa select/kutick format unayoihitaji kisha bofya export to PDF.

Related Articles