Kwa shule iliyosajili masomo 7 tu bila masomo ya options, inaombwa kwenda kuwasajili wanafunzi wanaosoma masomo ya options k.v. phy, chem, literature n.k. kwa kubofya task ya `Academics/icon ya kitabu=>subjects=>masomo yote yaliyosajiliwa yatatokea=>anza kuchagua somo moja×2 la option k.v. phy=>bofya kwenye view button ya somo hilo=>Enrol Students=>select class/form e.g. Form 4=>Fetch=>orodha ya wanafunzi sajiliwa wa darasa husika itatokea=>chagua wanafunzi wanaosoma somo hilo=>Enrol.` Rudia steps hizi kwa masomo mengine ya options. Baada ya hapo kazi itakuwa imekamilika kwa 💯.
