*Hello Team!*
> Tukiwa tunaendelea kusherekea mwaka mpya 2026, tunaweza kufanya mambo yafuatayo sasa kwenye mfumo wa MSSIS;
1. Kupandisha wanafunzi madarasa.
2. Kuwa-assign walimu masomo yao ya kufundisha kwa mwaka 2026
3. Ku-generate ratiba ya kufundishia (General Teaching Timetable)
4. Maelekezo ya jinsi ya kupandisha wanafunzi wanafunzi madarasa, kuwa-assign walimu masomo pamoja na Ku-generate ratiba yanapatikana kwenye mfumo wetu wa MSSIS kwa kubofya `My profile picture=>Help & FAQs=>kisha Maelekezo yataonekana.`
5. Taarifa zote za kitaaluma (wanafunzi, matokeo ya mitihani, report forms n.k.) za mwaka 2025, zimehifadhiwa kwenye mfumo na zinaweza kupatikana na kupakuliwa kama kawaida kwa kubadili mwaka wa masomo 2025.
6. Mfumo wa Mihula ya shule (Academic School Calendar) na Schemes of works (Maazimio ya Kazi) iko tayari/live sasa ndani ya MSSIS na kuanzia kesho schemes works kwa mtaala mpya zitaanza kupakiwa kwenye mfumo wetu wa MSSIS, na zitapatikana kwa kubofya Teaching=>T/L materials=>Schemes of work=>Chagua somo, darasa=>pakua
