*Jinsi ya kupakia alama/scores za mitihani kwa kila somo* Kila mwl wa somo aliyesajiliwa kwenye mfumo kupitia akaunti yake, atakuwa na access/uwezo wa kujaza alama na kupakia kwenye mfumo kwa kubofya `Teaching=>Exam results Upload=>chagua aina ya mtihani husika=>bofya Select kitufe kilichopo kulia mwishoni mwa mtihani husika=>Chagua somo ambalo unataka kuingiza matokeo kwa kubofya kitufe cha Select kilichopo kulia pembeni mwa somo husika=>Download template=>fungua mkeka uliopakua wa excel format, jaza alama za watahiniwa wa somo lako=>Save hiyo template=>rudi kwenye mfumo bofya choose file=>chagua hiyo template ya alama ulikoisave=>Upload` *NB:* Kwa mtahiniwa ambaye amesajiliwa na hajafanya mtihani, ASIJAZIWE chochote kwenye cell/kibox chake k.v. O au X, kwa ufupi kisanduku chake kibaki wazi. Pia, mtaaluma/makamu/mkuu watakuwa a access ya kupakia mikeka ya masomo yote kupitia akaunti zao kwa kufuata steps hapo juu.
