Jinsi ya kupublish/kutangaza matokeo ya mitihani* Mkuu (kwa mitihani ya ndani) ndo atakuwa na access ya ku-publish matokeo ili yaweze kuonekana kwa akaunti ya staffs wote kwa `kubofya Academics=>Exams=>bofya kwenye kijicho/view button ya mtihani husika=>bofya publish.` *NB:* Matokeo yakishakuwa published, hakutakuwa na fursa ya mwl wa somo yeyote kupandisha/kufanya mabadiliko yeyote ya alama za watahiniwa. Ikitokea kuna haja ya kufanya changes, ajulishwe mkuu wa shule ili Unpublish matokeo ili mwl husika aweze kufanya changes ya scores za watahiniwa.
