Kwa shule zinazohitaji pia kupata Report Forms (Fomu za maendeleo za matokeo ya wanafunzi) na kuwatumia wazazi, Mfumo wa MSSIS unachakata report forms hizo automatically na zimo tayari kwenye mfumo kwa matokeo yote yaliyofanyika na yanayoendelea kuingizwa. Tunawaomba walimu wakuu/wakuu wa shule mpakie images ya docs zifuatazo kwa utaratibu tulioutoa awali ili kupata huduma hii simply;
1. Signature ya mwl mkuu (lazima)
2. Muhuri wa shule (lazima)
3. Logo ya shule (siyo ya lazima).
NB: Baada ya kuapndisha viambata hivi, mfumo utakuwa unaweka signature, logo na muhuri automatically kwenye kila form ya mtahiniwa.
